Navigation

Mch. Wilbroad Samwel Mastai

Wajibu na Majukumu ya Kitengo cha Utawala:

* inasimamia pande zote za utumishi – pamoja na ajira, uhamisho, mafunzo, ujira, nidhamu na kadhalika
* inahusika katika mahusiano ya kazini na kuwasiliisha dayosisi katika kesi zinazousiana na ajira.
* inahakikisha mawasiliano thabiti baina ya utawala wa dayosisi na watumishi wake katika maswala ya ajira
* inasimamia mambo yote yanayohusiana na utawala wa ofisi pamoja na barua, usajili, huduma za uhazili, utarishi na usafiri na kuhakikisha huhuma hizi zote zinatekelezwa kwa ufanisi.

Wajibu na Majukumu ya Kitengo cha Milki:

* Kutoa msaada wa kitaalamu juu ya Ardhi au upatikanaji wa mali, upatikanaji wa Hati miliki kwa ajili ya mali inayomilikiwa na Dayosisi;
* Kutoa msaada wa kiufundi kwa Majimbo, Sharika, Mitaa juu ya matengenezo sahihi ya Mali ya mali ya Kanisa hasa majengo;
* Kutoa msaada katika matengenezo ya mali iliyoandikishwa;
* Kutoa mwongozo juu ya tathmini ya matumizi ya ardhi na kutoa mapendekezo;
* Kusaidiana na ;
* Kutoa ushauri juu ya maswala yote ya Bima, majengo, mitambo n.k;
* Kutoa msaada katika usimamizi wa Miradi ya ujenzi inayoendelea.

Wajibu na Majukumu ya Kitengo cha Manunuzi:

* Kufanya kazi za manunuzi kwa Taasisi zote za Dayosisi;
* Kusaidia katika maandalizi ya mifumo na taratibu za manunuzi ya vifaa vyote, mali, ujenzi na huduma;
* Kushauri juu ya utunzaji sahihi wa kumbukumbu za stoo kwa madhumuni ya uthibiti;
* Kuratibu manunuzi ya huduma za Ofisi kwa Makao makuu kutoka kwa mtu wa nje na kuhakikisha kwamba huduma hizo ziko katika kiwango kinachotakiwa;
* Kushauri juu ya usalama wa stoo thidi ya moto, wizi au athari nyingine yoyote;
* Kuratibu uchukuzi wa Hisa.

Anuani

S.L.P: 837 Dar es salaam, Tanzania
  • Simu: Telephone +255 222 113 246
  • Simu: Telefax +255 22 2125505
Barua pepe: dgsadmin@elctecd.org
Eneo: Luther House, Sokoine Drive, Dar es Salaam.

Osifi Yetu

Jina Cheo Barua pepe Simu
Mch. Wilbroad Samwel Mastai Naibu Katibu Mkuu wmastai@yahoo.com +255683174479
Bi. Nuru Sabaya Mkuu wa Kitengo cha Utumishi nurusabaya@yahoo.com,hr@elctecd.org +255 788 222 445