Navigation

Agnes Niwatoki Lema
Naibu Katibu Mkuu Huduma za Jamii anaangalia vituo vya afya, taasisi za elimu kama shule na chuo kikuu, halafu kazi ya kijamii na kitengo cha wanawake.

Ofisi ya Huduma za Kijamii inaunganisha matawi yafuatayo:

* Elimu na usimamizi wa taasisi za elimu kama vile shule za dayosisi na Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDarCo)

* Diakonia na usimamizi wa huduma za kijamii katika dayosisi zinazotolewa kupitia maafisa wa ustawi wa jamii katika majimbo na taasisi zinazolenga kuwasaidia walemavu

* Afya na usimamizi wa vituo vya afya

* Kuratibu kazi na wamama na watoto katika sharika na majimbo

Shabaha: utoaji wa huduma za kijamii ambazo ni za kutegemea, za maana na zenye upendo.  Kazi hii inalenga kuwezesha hasa wamama, watoto, vijana  na vikundi vinavyobaguliwa katika jamii.

 

Anuani

S.L.P: 837 Dar es salaam, TANZANIA.
  • Simu: Telephone +255 222 113 246
  • Simu: Telefax +255 22 2125505
Barua pepe: dgsss@elctecd.org
Eneo: Luther House, Sokoine Drive, Dar es Salaam.

Osifi Yetu

Jina Cheo Barua pepe Simu
Agnes Niwatoki Lema Naibu Katibu Mkuu Huduma za Kijamii dgsss@elctecd.org +255 22 211 3246
Mch. Daniel E. Sendoro Mchungaji wa Huduma ya Hospitalini
Mch. Agnes Mtunze Mangala Mchungaji Kiongozi Idara ya Wanawake agnesmtunze@gmail.com +255754850884
Caroline Shedafa Mkurugenzi Mpango wa Chuo cha Ufundi cha Mlandizi caroline.shedafa@gmail.com
Faraja Mwakapeje Mratibu wa Diakonia +255 754 326 674