Navigation

Mch. Andrew Brown King’homella
ni Mkuu wa Jimbo la Kusini.
Jimbo la Kusini linajumuisha sharika 15 na mitaa 42. Eneo lake liko upande wa kusini wa kitovu cha jiji likiendelea katika Mkoa wa Pwani hadi Mto Rufiji pamoja na Kisiwa cha Mafia.
Katika jimbo hili kuna miradi ifuatayo:
- Mradi wa Ukarabati wa Zahanati ya Mjawa
- Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Jimbo
- Mradi wa Shule ya Sekondari ya Shine
- Miradi ya Ujenzi wa Majengo ya Ibada katika Sharika na Mitaa
- Miradi ya Ujenzi wa Majengo ya Nyumba za Watumishi katika Sharika na Mitaa
Anuani
S.L.P: 46115 Dar es Salaam, TANZANIA.
- Simu: Mobile +255 717 961 315
Barua pepe: sdis@elctecd.org or kkktdsmjimbokus@yahoo.com
Tovuti: https://www.elctecd.org
Eneo: Sandali-Temeke, Dar es Salaam, off Dr Omari Ali Juma Rd , eneo la Vetenary Lutheran Church
Osifi Yetu
Jina | Cheo | Barua pepe | Simu |
---|---|---|---|
Mch. Andrew Brown King’homella | Mkuu wa Jimbo | antyking@yahoo.co.uk | +255 713 329 615 |
Bi. Eliaika Mariki | Kaimu Katibu wa Jimbo | ||
Bw. Tumtukuze Gondo | Karani | tumtukuzegondo10@gmail.com | +255 754 911118 |
Mch. Prosper Regnald Chao | Mratibu wa Jimbo Misioni na Uinjilisti | +255 715 528 233 | |
Mch. Debora Elias Lusambi | Mratibu wa Diakonia jimboni | +255 719 145 596 | |
Mch. Paulo S Lusambi | Mratibu wa UKWATA jimboni | +255 784 200 374 | |
Mch. Alex Erasto Mwanga | Mratibu wa Vijana jimboni | +255 654 840 719 | |
Mch. Matilda Nitwa Mbwambo | Mratibu wa Elimu ya Kikristo jimboni | +255 713 400 109 | |
Mtk. Rhoda Julias Kimaro | Kiongozi wa Parish Worker jimboni | +255 762 741 924 | |
Mwj. Frank Mwakalasya | Mwinjilisti Kiongozi wa Jimbo | +255 684 107 201 | |
Bi. Lainess Kihundo | Mratibu Msaidizi wa Elimu ya Kikristo | +255 754 926471 |