Navigation

Mch. Shukuru S. Maloda
ni Mkuu wa Jimbo la Zanzibar. Anahudumia pia Usharika wa Mwanakwerekwe akiwa mchungaji wake.
Jimbo la Zanzibar linaunganisha Wakristo Walutheri kwenye visiwa vya Unguja na Pemba. Ilhali wenyeji kihistoria ni Waislamu, Wakristo walio wengi wanatoka bara. Hivyo jimbo hili hutazamiwa "eneo la misioni".
Kuna sharika 5 na mitaa 4.
Ndani ya jimbo kuna miradi ifuatayo:
1. Zanzibar Interfaith Centre (+255 763 308 848)
2. Upendo Women Empowerment (+255 715 331 028)
3. Martin Luther Pre & Primary School (+255 714 879 020)
4. Martin Luther Hostel Paje (+255 782 404 197)
Anuani
S.L.P: 872 Zanzibar, TANZANIA.
- Simu: Mobile +255 717 001 870
Barua pepe: zdis@elctecd.org
Tovuti: https://www.elctecd.org
Eneo: Mwanakwerekwe, Zanzibar
Osifi Yetu
Jina | Cheo | Barua pepe | Simu |
---|---|---|---|
Mch. Shukuru S. Maloda | Mkuu wa Jimbo | shuksma@yahoo.com | +255 717 001 870 |
Bw. Nelson Msangi | Katibu wa Jimbo | nelkaku@yahoo.co.uk | Mobile +255 713 560 196 |
Lufingo Ngimbudzi | Mhasibu wa Jimbo | +255 766 856 690 |