UEM (United Evangelical Mission) ambayo ni ushirikiano wa makanisa katika Afrika, Ulaya na Asia pamoja na DMP inamtafuta mtumishi kwa nafasi ya mradi wa makanisa utakaolenga watu katika tamaduni tofauti,

Angalia tangazo linaloambatanishwa!