Tunakukaribisha kwetu kwa mikono yote miwili! Sisi ni jumuiya ya Wakristo Walutheri wa eneo letu. Tunamfurahia kila mtu anayependa kumsifu Bwana Yesu pamoja nasi katika ibada zetu. Tunaendesha ibada zetu kwa lugha ya Kiswahili.

What we do: 
Dispensaries
Kituo cha Diakonia cha Kilutheri cha Mtoni
Maendeleo Bank
Tumaini University Dar es Salaam