Picha ya pamoja ya wahitimu wa Mahafali ya pili ya Kituo cha kulelea watoto wadogo Mchana cha KKKT Ukonga ( Ukonga Day Care Center)

Kituo kinapokea watoto wa miaka miwili hadi mitano 

Mlete mtoto wako, sisi tutakulelea