Navigation

Kisarawe Lutheran Junior Seminary is an institution of Secondary Education owned by Evangelical Lutheran Church of Tanzania, Eastern and Coastal Diocese The school is dedicated to develop Spiritual Growth, Mental Growth, Academic Improvement and infrastructure development to the student who will engage and realize their full potential of their own and that of the community, their country and that of the world in large. As most of  the students join the school with limited knowledge and skills, we take extra measures to hone up such skills in order to enhance the students's ability to cope with the academic work, as well as their future life.

The school offers education up to O-level (Form IV) and A-level (Form VI).

Seminari ya Kisarawe Lutheran Junior ni taasisi ya elimu ya sekondari inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani Shule hiyo inalenga kulea wanafunzi wake kiroho na kielimu. Inaongoza wanafunzi kusogea mbele kitaaluma na kutambua uwezo wao kwa manufaa yao wenyewe, ya jamii, taifa na na ulimwengu kwa jumla.

Wanafunzi wengi wanajiunga na shule hiyo wakiwa na maarifa na ustadi mdogo. Hapa tunachukua hatua za ziada kukuza ujuzi kama huo ili kuongeza uwezo wa wanafunzi kukabiliana na kazi ya masomo, na maisha yao ya baadaye.

Shule hiyo inatoa elimu hadi Form IV  na kiwango cha Form VI.

Our News

December 18, 2019

Karibu sana kuangalia wasifu za shule yetu (kwa Kiingereza).

Anuani

S.L.P: 28048 Kisarawe, Pwani
  • Simu: +255 232 42 185
-6.909944, 39.061944
Office: 
Ofisi ya Huduma za Jamii

Osifi Yetu

Jina Cheo Barua pepe Simu
Mch. Imani Maulid Hatibu Mchungaji wa kituo [email protected] +255 753 942 350