Navigation

Kituo cha Elimu Maneromango kinachomilikiwa na KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani kipo wilayani Kisarawe.

Kituo kwa sasa kinaendesha kozi za muda mfupi kwa watumishi wa Dayosisi.

Anuani

S.L.P: 28143 Kisarawe
Eneo: Maneromango, Kisarawe

Osifi Yetu

Jina Cheo Barua pepe Simu
Mch. Zakayo Zabron Chaula Mkuu wa Kituo cha Elimu cha Maneromango revchaula18@gmail.com +255 784 280 599