Navigation

- Mbwawa Sekondari ni shule ya BWENI inayotoa elimu ya sekondari kwa jinsia zote kuanzia kidato cha I-IV kwa michepuo ya Sayansi, biashara na Sanaa.
- Shule inatoa huduma za kiroho kwa wanafunzi na jamii inayozunguka shule.wanafunzi wanalelewa katika maadili ya kikristo ili kuwapa uwezo wa kukabiliana na mabadiliko makubwa ya kitabia duniani.
- Shule inalenga kumjengea mwanafunzi kutambua uwezo wake, kipawa chake na umuhimu na manufaa ya elimu yake kwa jamii yake.
- Shule ya sekondari Mbwawa inawaandaa vijana kuwa wawajibikaji na wenye ueledi katika kutenda shughuli mbalimnali ndani ya jamii inayowazunguka.
Anuani
S.L.P: 15 Mlandizi - Kibaha,
- Simu: +255 621 109 647
- Simu: +255 762 184 103
Barua pepe: mbwawasec.school@yahoo.com
Eneo: Kibaha - Mlandizi - 61111 Mbwawa