Navigation

Dawati hili ni jpiya lenye wajibu ufuatao

  1. Kuratibu tafiti za kiteolojia na maeneo menginekadri inavyohitajika
  2. Kuratibu shughuli za machapisho ya kiteolojia ya DMP
  3. Kusimamia makavazi ya DMP ambayo iko mbioni kuanzishwa
  4. Kusimamia utumnzaji mzuri wa nyaraka zilizoko katika matumizi
  5. Kuweka na kusimamia utaratibu wa kuwaelimisha watumishi wote juu ya utunzaji nyaraka na kumnbukumbu za zamani na zile zinazozalishwa katika idara au vitengo vyao

Dawati hili ni sehemu ya Ofisi ya Theolojia na Wito

Anuani

S.L.P: 837 Dar es Salaam, Tanzania
  • Simu: +255 22 2113246
Barua pepe: mlukonge2020@gmail.com

Osifi Yetu

Jina Cheo Barua pepe Simu
Mch. Modestus Josephat Lukonge mlukonge2020@gmail.com +255 746 549 505