Navigation
Dawati hili linatekeleza wajibu zifuatazo;
- Kuandaa Mpango kazi wa Manunuzi wa Mwaka mzima
- Kukusanya mahitaji yote ya manunuzi ya Dayosisi
- Kutekeleza maamuzi ya Bodi ya Manunuzi ya Dayosisi
- Kuandaa Zabuni
- Kushauri Bodi ya Manunuzi kwenye masuala yote ya Manunuzi
Lipo chini ya Ofisi ya Katibu Mkuu
Anuani
S.L.P: P.O.Box 837 Dar es Salaam, TANZANIA.
- Simu: +255 22 211 3246
Barua pepe: info@elctecd.orgg