
Dean Chediel A. Lwiza
Dean anamsaidia Askofu katika majukumu yake yote. Hasa ni Mkuu wa Theolojia na Wito.
Msaidizi wa Askofu ana cheo cha Dean. Ndiye Mkuu wa Theolojia na Wito katika daysisi. Anasimamia madawati ya kitheolojia pamoja na Idara ya Uinjilisti, Misioni na Diakonia.
Madawati yafuatayo yako chini ya ofisi hii:
- Dawati la Theolojia & Wito
- Dawati la Utafiti, Machapisho na Nyaraka
- Dawati la Ushirikiano, Ekumene na Dini Mbalimbali
- Dawati la Elimu ya Kikristo
- Dawati la Kanisa Mtandao
Anuani
S.L.P: 837 Dar es salaam, TANZANIA.
- Simu: +255 22 213 4377
Barua pepe: dean@elctecd.org
Eneo: Jengo la Luther House; Barabara ya Sokoine Drive, Dar es Salaam.
Osifi Yetu
Jina | Cheo | Barua pepe | Simu |
---|---|---|---|
Dean Chediel A. Lwiza | Assistant to the Bishop, Head of Theology & Vocation | dean@elctecd.org | +255 22 213 4377 |
Mch. Gwakisa Andrew Mwaipopo | Mratibu wa Ushirikiano, Ekumene na Imani mbalimbali | partnershipecd@gmail.com | +255 757 134 807 |