Tarehe 14 Nov. 2020, Akina mama wa Usharika wa Ukonga wakiwa katika ziara ya kuona Uumbaji wa Mungu, Ngorongoro.

Safari hii walisindikizwa na Mzee wa kanisa E. Fupi