Error message

Deprecated function: Optional parameter $conditions declared before required parameter $data is implicitly treated as a required parameter in include_once() (line 1439 of /home/kkktdmpor/public_html/includes/bootstrap.inc).

KUHUSU UPENDO TV:
Upendo Tv ni Televisheni inayomilikiwa na Dayosis ya Mashariki na Pwani ya Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania yenye lengo na maono ya kuwa Televisheni namba moja yaUinjilishaji Tanzania huku ikieneza habari za Bwana wetu Yesu Kristo kwa wanaoamini na wasioamini. 
 
RATIBA YA VIPINDI
Morning Glory - Jumatatu - Ijumaa 12:00 - 01:00 Asubuhi
Evening Glory - Jumatatu - Ijumaa 01:00 - 02:00 Usiku
Ibada za Jumapili - Jumapili 01:00 Asubuhi - Marudio Jumapili 01:00 Jioni
Injili Profile - Jumamosi - 01:00 Jioni - marudio Jumatatu 05:00 Asubuhi
My Top Ten - Jumapili 08:00 Mchana - marudio Jumatatu 07:00 Mchana
Dispensary - Jumatatu - 03:00 Usiku - Marudio Jumanne 08:00 Mchana
Mahubiri - Jumatatu hadi ijumaa 04: 00 Asubuhi
Gospel Hour - Jumamosi 03:00 Usiku - Marudio Jumatano 05:00 Asubuhi.
Sunday School - Jumapili 10:00 Jioni - Marudio Jumatatu 06:00 Mchana
Saa ya Ushindi na Kuinuliwa - Jumatano 04:00 Usiku - Marudio Alhamisi 11:00 Jioni
Weekend Movie - Jumapili 03:00 Usiku - Marudio Jumanne 06:00 Mchana
Habari kwa ufupi - Saa 06:00 Mchana, saa 10:00 jioni, Saa 12:30 Jioni
Kuelekea Yeriko - Alhamisi 03:00 usiku