Mch. Godlove Msafiri Chagulilo
ni Mkuu wa Jimbo la Kusini Magharibi. Anahudumia pia Usharika wa Pugu Kajiungeni akiwa mchungaji wake.

Jimbo la Kusini-Magharibi linaenea katika Mkoa wa Pwani nje ya jiji la Dar es Salaam. Ofisi yake iko Kisarawe mjini.

Katika jimbo hili kuna sharika 7 na mitaa 37. Maneromango ni usharika wa kale zaidi ulioanzishwa katika karne ya 19.

 

Anuani

S.L.P: 28048 Kisarawe Pwani TANZANIA.
  • Simu: Mobile +255 715 517 368
Barua pepe: swdis@elctecd.org or gomsachajr@gmail.com
Eneo: Kisarawe town, Pwani.

Osifi Yetu

Jina Cheo Barua pepe Simu
Mch. Godlove Msafiri Chagulilo Mchungaji Mkuu wa Jimbo gomsachajr@gmail.com 0715-517368
Mr. Joseph Ngairo AMFU josengairo@yahoo.com 0717-009622
Mwj. Tikisa Paul Kaaya Mwinjilisti
Mrs. Anna L. Nyumba Mratibu Huduma za Jamii missanny53@yahoo.com 0712-139758
Bw. Tikisael Kaaya Mratibu Elimu Kikristo +255 786 318 834
Nsia R. Muro Karani nsiamuro69@gmail.com 0758-737707