Tangu siku za kwanya za Ukristo wafuasi wa Yesu walitumia kila teknolojia iliyopatikana kwa kusambaza Habari Njema.