Navigation

Idara ya wanawake katika Ofisi Kuu inaratibu vikundi vya Wakina Mama vinavyopatikana katika sharika na mitaa pamoja na kuwakutanisha kwenye ngazi ya majimbo na dayosisi.

Inaangalia pia kazi ya shule ya Jumapili na kuandaa misaada ya kufundisha kwa ajili ya walimu kwenye mitaa na sharika.

 

Anuani

S.L.P: 837 Dar es Salaam, Tanzania
  • Simu: +255 222 113 246
Eneo: Luther House, Sokoine Drive, Dar es Salaam (5th floor)